wambeke
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 2,655
- 2,650
mkija zaidi ya wawili nawaacha.nitakuja na team ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkija zaidi ya wawili nawaacha.nitakuja na team ..
khee mbona hivyo wanne tumkija zaidi ya wawili nawaacha.
afu muanze kuagiza bailleys? ntawaachia bill mezanikhee mbona hivyo wanne tu
afu muanze kuagiza bailleys? ntawaachia bill mezanikhee mbona hivyo wanne tu
ukifanya hivyo nitakuchukia .. basi ngoja nichague mmojaafu muanze kuagiza bailleys? ntawaachia bill mezani
Kama wakenya [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Meno yamepandana yatamkatia points.
Alishirikii akawa wa nne kama sikoseiHuyu yuko kwenye mchakato mwingine kabisa wa Miss Africa, alishiriki Miss Tanzania lakini nilisikia alianguka jukwaani na kushindwa kuendelea na mchakato, kumbe nyota yake ilikuwa inawaka upande mwingine.
Fanya fasta basiukifanya hivyo nitakuchukia .. basi ngoja nichague mmoja
pouwaFanya fasta basi