M CM
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 2,495
- 1,477
Kwa hiyo miss world atatuwakilisha yupi kati ya hawa wawili?Huyu yuko kwenye mchakato mwingine kabisa wa Miss Africa, alishiriki Miss Tanzania lakini nilisikia alianguka jukwaani na kushindwa kuendelea na mchakato, kumbe nyota yake ilikuwa inawaka upande mwingine.