Mrembo Julitha Kabete

Mrembo Julitha Kabete

Tunda ni mzuri sana, angepata muongozo wa maisha angeweza kutumia uzuri wake kujiingizia kipato na kuelimisha jamii.
Hivi tunda anasomaga kweli? maana naona umri wake ni wa kua shule kama sec hvi
 
Mtu pekee ambaye anaipeperusha Tz na kututoa kimasomaso ni Diamond tu..........

Football ovyo

Miss ovyo

Kabadi ovyo

Boxing ovyo

Riadha ovyo

Basketball ovyo

Music= Diamond ndo ametuwakirisha hao wengne wanamaliza bajeti ya wizara tu...........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
Mkuu hii 'ovyo' lazima imeanzia mahali...unaweza kuta na sisi wote ni 'ovyo'!
 
Mkuu hii 'ovyo' lazima imeanzia mahali...unaweza kuta na sisi wote ni 'ovyo'!

Cdhan kama ni kwel mkuu.........

Mfumo wa nchi na viongoz ndo tunaonekana kma ovyo ila we are best...............

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Meno yamepandana yatamkatia points.
Ulinisikia nimeenda kujiuza kwenye u "miss"?

Huu ni utumwa mamboleo tunaoushabikia.

Thank you sana Mkuu!! Umeongea sentensi pana mno "Utumwa mamboleo".

Laiti tungejitambua kidogo tusingekuwa tunashiriki katika Mashindano ya kutembea nusu uchi mbele ya Kadamnasi eti kwa kigezo cha Uzuri.

Kila Kabila,Jamii nk ina vigezo vyake katika kumpata mlimbwede wake na siyo kwa hivi vigezo vya ki-magharibi vinavyoudhalilisha uafrika wetu.

Nifafanulie kidogo kwenye hili "
Ulinisikia nimeenda kujiuza kwenye u "miss"?
".
 
Back
Top Bottom