Mrembo live interview on muosha rungu show

Kwani wewe una tabia zipi za kumvutia mchumba!?
Ulishawahi msaliti mpenzi wako
Ni kosa gani huwez msamehe mumeo?

DJ sepetu
Tabia zangu siwez kuzitaja hapa nimewahi kumsaliti kiukweli ...anisamehe sana ila nimetubu ha ha ha......kosa ambalo siwezi kumsamehe mume ni la kumfumania na mwanamke mwingine
 
Tabia zangu siwez kuzitaja hapa nimewahi kumsaliti kiukweli ...anisamehe sana ila nimetubu ha ha ha......kosa ambalo siwezi kumsamehe mume ni la kumfumania na mwanamke mwingine
Wewe umemsaliti ila huwezi msamehe ukimfumania! Double standard!
Alifanya nn hadi ukamsalit revenge or what

DJ sepetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…