Kuna kipindi alibadilika kitabia ....nkaona ananivuruga akili nikamcheat ili kupunguza stress zake ila nikaona ni ujinga nikakaa nae tukayajengaWewe umemsaliti ila huwezi msamehe ukimfumania! Double standard!
Alifanya nn hadi ukamsalit revenge or what
DJ sepetu
Me mzima sana dada akee Mungu ni mwaminifu sana kwetuMie mzima kabisa namshukuru m'mungu. Sijui wewe dada?
Kumbe ulijutia poa!Kuna kipindi alibadilika kitabia ....nkaona ananivuruga akili nikamcheat ili kupunguza stress zake ila nikaona ni ujinga nikakaa nae tukayajenga
Hivi cuzoo wewe unaweza[emoji28] [emoji28]Msamehe tu jaman ukimkuta na mwanamke kama we ulimsaliti bila yeye kujua
Cheka tuu mpenzi, tumewahi mapema kabisa na vinywaji vyetu mpaka vikaisha tukaanza kulamba midomo na kutoa ulimi nje kama samaki, ila hatimaye mgeni rasmi kafika tunafatilia interview mubasharah kabisa [emoji12][emoji12]Aiseeee. Nimecheka sana duuh
Kuondoa usumbufu kabisa[emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nalifahamu hilo
Ndo ilikuwa nakufuata hivyo kumbe ushawasil haya karibia mjadalaDadiyo nimechelewa kufika lol.
Nami nimechelewa lakini najua hakija haribika kitu[emoji5]Ahsante weee. Nimechelewa swahiba japo sio sana. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumiss[emoji17]Ndo ilikuwa nakufuata hivyo kumbe ushawasil haya karibia mjadala
Angejua he he he nahisi angeniweka kilema.......ile kutoka nje ya ndoa ni tamaa tu hakuna kingineKumbe ulijutia poa!
Unadhani angejua kingetokea nn?
Nn sababu ya wanawake Na wanaume kutoka sana nje ya ndoa!?
DJ sepetu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cheka tuu mpenzi, tumewahi mapema kabisa na vinywaji vyetu mpaka vikaisha tukaanza kulamba midomo na kutoa ulimi nje kama samaki, ila hatimaye mgeni rasmi kafika tunafatilia interview mubasharah kabisa [emoji12][emoji12]
Una tamaa?Angejua he he he nahisi angeniweka kilema.......ile kutoka nje ya ndoa ni tamaa tu hakuna kingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuondoa usumbufu kabisa[emoji28]
Halafu alichungulia hapa ila kasepaUlipitwa dada akee ilikua balaa
Ahsante dada ile msg yako ndio nimeiona muda huu ujue.Ndo ilikuwa nakufuata hivyo kumbe ushawasil haya karibia mjadala
Halafu nimekuuliza hujanijibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji35][emoji35][emoji36][emoji21][emoji20][emoji19][emoji12][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji43][emoji47][emoji34][emoji58][emoji42][emoji42]
Ney [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Cheka tuu mpenzi, tumewahi mapema kabisa na vinywaji vyetu mpaka vikaisha tukaanza kulamba midomo na kutoa ulimi nje kama samaki, ila hatimaye mgeni rasmi kafika tunafatilia interview mubasharah kabisa [emoji12][emoji12]
Sikutoka nje ya ndoa bali nje ya mahusiano...Una tamaa?
Hajui kitu emmyta ujue ya jioni au kama alipita kimya kama wewe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu alichungulia hapa ila kasepa