Mrembo live interview on muosha rungu show

Mrembo live interview on muosha rungu show

Wewe umemsaliti ila huwezi msamehe ukimfumania! Double standard!
Alifanya nn hadi ukamsalit revenge or what

DJ sepetu
Kuna kipindi alibadilika kitabia ....nkaona ananivuruga akili nikamcheat ili kupunguza stress zake ila nikaona ni ujinga nikakaa nae tukayajenga
 
Kuna kipindi alibadilika kitabia ....nkaona ananivuruga akili nikamcheat ili kupunguza stress zake ila nikaona ni ujinga nikakaa nae tukayajenga
Kumbe ulijutia poa!
Unadhani angejua kingetokea nn?
Nn sababu ya wanawake Na wanaume kutoka sana nje ya ndoa!?

DJ sepetu
 
Kumbe ulijutia poa!
Unadhani angejua kingetokea nn?
Nn sababu ya wanawake Na wanaume kutoka sana nje ya ndoa!?

DJ sepetu
Angejua he he he nahisi angeniweka kilema.......ile kutoka nje ya ndoa ni tamaa tu hakuna kingine
 
Cheka tuu mpenzi, tumewahi mapema kabisa na vinywaji vyetu mpaka vikaisha tukaanza kulamba midomo na kutoa ulimi nje kama samaki, ila hatimaye mgeni rasmi kafika tunafatilia interview mubasharah kabisa [emoji12][emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ngoja tusubiri yatakayojiri maana hizi interview acha kabisa.
 
Back
Top Bottom