Mrembo live interview on muosha rungu show

Mpenzi wa mtu je
Ukiolewa utamthibiti vipi mumeo asitoke nje ya ndoa!?

DJ sepetu
Kuishi na mpenzi wa mtu hapana sijawahi me najua niko na mpenzi wangu kama ana mwingine hilo sijui.......
Nikiolewa nitahakikisha natekeleza wajibu wangu ipasavyo katika ndoa yangu
 
Unaweza kutupa utundu wako ktk sita kwa sita!
Malezi yepi utawapa wanao ili waje kunufaisha taifa?

Ilo swali la mautundu majibu yake hayajulikani sorry.......
..wanangu nitawalea katika maadili mema na misingi ya kidini .....najua wakiwa na hofu ya mungu watakua wanafanya mambo yenye tija
 
Siasa!
Lowassa au magu

DJ sepetu
 
Back
Top Bottom