Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Kuishi na mpenzi wa mtu hapana sijawahi me najua niko na mpenzi wangu kama ana mwingine hilo sijui.......Mpenzi wa mtu je
Ukiolewa utamthibiti vipi mumeo asitoke nje ya ndoa!?
DJ sepetu
Nikiolewa nitahakikisha natekeleza wajibu wangu ipasavyo katika ndoa yangu