long distance relationship is killing me ( ahaaa wivu tu wa kawaida)Ni nipo hapa angalia usinisifie sana warembo wengine wakajileta ukabaki na maumivu.
Swali: nini ipi changamoto unayopata kutoka kwa mpenzi wako huyo.?
Kwenye hii list kama yupo hajaolewa namomba pm tuongee.Ngoja niwaite.
Numbisa
emmyta
Shunie
Ukhuty
Carba
Linamo
Sakayo
MBITIYAZA
Neybright
Etc..
Asante hebu niambie unaishije mjiniyeah ni mwanaume nilietamani kuwa nae tangu nikiwa mdogo sikupenda under 30 boys wakati na mm ni under 30 yaan nilitamani niwe na mwanaume anaenizidi umri, mrefu, msomi, anajari ,mweusi kiasi si unajua ngozi nyeusi mwaume lazima wadada tutoe udenda ! in short he is soooo mwaaaa
Nitakaribia kipenzi endelea kuwa mwaminifu nipo narudi hivi karibuni.long distance relationship is killing me ( ahaaa wivu tu wa kawaida)
nafanya kazi maisha yanaenda.Asante hebu niambie unaishije mjini
Vipi unaleta msosi mezani,pamba Kali nk
Unaharibu interviewNitakaribia kipenzi endelea kuwa mwaminifu nipo narudi hivi karibuni.
Swali 2: mistake gani ulishawahi kufanya kwenye mahusiano yako?
Mzazi mbona nauliza swali hapo chini??Unaharibu interview
ahaa ntakuchaapa wewe ,anyway ni vitu vidogo vya kawaida .Nitakaribia kipenzi endelea kuwa mwaminifu nipo narudi hivi karibuni.
Swali 2: mistake gani ulishawahi kufanya kwenye mahusiano yako?
Asante MwifwaNgoja niwaite.
Numbisa
emmyta
Shunie
Ukhuty
Carba
Linamo
Sakayo
MBITIYAZA
Neybright
Etc..
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Nimefika
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Weka picha
Baby endelea kuniuliza mimi tuNimekuuliza swali unachukua dakika nyingi kujibu swali moja!