Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

yeah ni mwanaume nilietamani kuwa nae tangu nikiwa mdogo sikupenda under 30 boys wakati na mm ni under 30 yaan nilitamani niwe na mwanaume anaenizidi umri, mrefu, msomi, anajari ,mweusi kiasi si unajua ngozi nyeusi mwaume lazima wadada tutoe udenda ! in short he is soooo mwaaaa
Asante hebu niambie unaishije mjini
Vipi unaleta msosi mezani,pamba Kali nk
 
Asante hebu niambie unaishije mjini
Vipi unaleta msosi mezani,pamba Kali nk
nafanya kazi maisha yanaenda.

pili nimejiajiri tofauti na profession yangu.mm in designer mzuri tu wa nyumba na sehemu nyingine.(decoration). hii kazi naifanya weekends " kwa order maalumu " kazi hii naipenda sana kuliko hata profession yangu maana naifanya bila pressure. naipenda sana. so siku za kazi kibaruani.weekend- ujasiliamali.
 
Mrembo naomba kuuliza umejipangaje kuhakiki una shiriki katika kumsaidia mh! Rais kutimiza azima yake ya Tanzania ya viwanda?
 
Back
Top Bottom