Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

Mrembo luckyline! live interview on DJ sepetu show!!

yeah ni mwanaume nilietamani kuwa nae tangu nikiwa mdogo sikupenda under 30 boys wakati na mm ni under 30 yaan nilitamani niwe na mwanaume anaenizidi umri, mrefu, msomi, anajari ,mweusi kiasi si unajua ngozi nyeusi mwaume lazima wadada tutoe udenda ! in short he is soooo mwaaaa
He is so mwaaa wakati long distance relationship inakutafuna!!![emoji32][emoji32][emoji32]
 
Ni nipo hapa angalia usinisifie sana warembo wengine wakajileta ukabaki na maumivu.


Swali: nini ipi changamoto unayopata kutoka kwa mpenzi wako huyo.?
Kwahiyo mpo wawili mkuu au swali lako ni changangamoto ipi unaipata kutoka kwangu (yaani wewe)
 
Punguza wivu[emoji23] [emoji23]
Umesema wewe muhenga!
Kwanini umejivuta sana kuolewa?
Unaogopa!
Je ni kweli kuwa mapenzi hupungua sana baada ya ndoa?kwanini

wivu ni lazimaaaa

wala sijachelewa kama unavyodhani. nilikuwa nasubiri kitu roho inapenda.
 
wivu ni lazimaaaa

wala sijachelewa kama unavyodhani. nilikuwa nasubiri kitu roho inapenda.
Malezi Na makuzi yepi toka utoton
Ambayo ungependa kuwaridhisha wanao!
Na yepi ambayo uliyaona yana walakini!
 
Mengi tutazungumza faragha ishia hapo hapo mamii.
Image-9565.png
nanyamaza
 
Back
Top Bottom