Mrembo maserati interview! Live

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Wengi tunamjua kama maserati, kiukweli ni binti mdogo Mrembo mstarabu mcha Mungu na mwenyewe kiu ya maendeleo zaidi

Leo baada ya kutumia wiki moja hatimaye nimefanikiwa kumshawishi kukubali kujibu maswali yangu yenye nia ya kumfahamu pia kujifunza mengi

Naomba wapenzi msiingize mambo binafsi na migogoro!

Maserati atajibu maswali yenu baada ya usaili

Tafadhali kuwa mstarabu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini anajiita Hilo jina? Hilo jina linasadifu maisha yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…