Relato not Inna.Kitu gani rfk yako Inna alishawai kukushauri ukamwona bonge moja la rafiki ( 4 dat) Na ushauri ulikufanya umwone bonge moja la nyau
Aiseee[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwenye shamba la migomba..
username huko fb na insta, huwez kujua natak kununua bidhaa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nikijibu hili ndugu zangu watanijua kabisa hasa ukizingatia najua id zao hawaijui ya kwangu...
Social media ni platform nzuri kibiashara,Mimi Instagram na Facebook Ndizo ninazo zitumia na zinanisaidia sana.
Relato not Inna.
She is such a great friend sijawahi muona zwazwa, ananisaidia sana can't mention
Duh!!!nitakujibu hiliKati ya hayo masaa yote kwa wastani kila lisaa linakuingizia shng ngapi kwa siku?
Chuo gan.....In marketing..2016
Jaribu kuuliza Na love unamboa!Matumizi yako makubwa mno ya pesa kuyafanya uliyatumia kwenye nini.?
Ooh. In business duh!!!inakuwa Ngumu sana kwenda nje ya nchi especially ulaya na America na ukafanikiwa. Nawashauri tubaki tu humu humu ndani tupambane na hali zetu[emoji2] [emoji2]Ok sawa, lkn nlikuuliza in buziness. thanks 4 yur answer though
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hivi ina ni mbilikimo!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yes I did
Any positive one.Opportunity zipi unawashauri vijana wazichangamkie Tz.?
Kwanini???
Umepanic mzee babaPambana na hali yako wewe wakurya achana nao
Fanya yako hatuhitaji utukabali wewe
Maserati
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh!!!!!!!!!Tutajie Assets tano unzoamini hizo ukiwa nazo ni mgodi wa madini.
SwimmingUnapendelea kufanya starehe za aina gani right now.
Pata pespi ya baridiiiiHuu ni utoto. Mnaulizana maswali yenu ya kithenge sisi yatusaidie nini.?
Wewe muosha rungu umekaa kingonongono tu, una miaka mingapi?
Kwa sababu inaonekana ngono ina run yur brain.