Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Kitu gani rfk yako Inna alishawai kukushauri ukamwona bonge moja la rafiki ( 4 dat) Na ushauri ulikufanya umwone bonge moja la nyau
Relato not Inna.
She is such a great friend sijawahi muona zwazwa, ananisaidia sana can't mention
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nikijibu hili ndugu zangu watanijua kabisa hasa ukizingatia najua id zao hawaijui ya kwangu...

Social media ni platform nzuri kibiashara,Mimi Instagram na Facebook Ndizo ninazo zitumia na zinanisaidia sana.
username huko fb na insta, huwez kujua natak kununua bidhaa

Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
 
Kitu gani / maamuzi gani wazazi wako waliwahi kuyafanya juu yako unawalaumu hadi leo
 
Ok sawa, lkn nlikuuliza in buziness. thanks 4 yur answer though
Ooh. In business duh!!!inakuwa Ngumu sana kwenda nje ya nchi especially ulaya na America na ukafanikiwa. Nawashauri tubaki tu humu humu ndani tupambane na hali zetu[emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom