Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Una bei gani ? Nikupe page yake ya fb. Weka mpunga wa maana mezaniLa chuo amekataa nmemuulza page yke ya fb/insta nione kama naweza kumsapoti kwny biashar nalo amekaza...muach ana wat wake special wa kuwajib wengin sis na makapuku mzee kwa mfano hapo juu kuna mteja anajuana nae na inaelekea biznezz wanafany ila mm kuomba page ya fb/insta imekuwa ktuko..ndo maisha hya mkuu WABAGUZI na WAPENDELEAJI wapo
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Heshima Mkuu, Saint Ivuga .Steven tucker
Mkuu asante sana kw kunirekebisha majinaya hwa jamaa.Heshima Mkuu, Saint Ivuga .
FYI anaye-present HARDtalk ( A current affairs interview programme on BBC World News) ni Stephen Sackur na sivyo kama ulivyomuandika. Huyu Steven tucker ni mwingine kabisa, www.tuckermedical.com/about-dr-steven-tucker/.
Back to the topic, hatuna skills japo a, b, c's za uulizaji wa maswali. Kuna baadhi ya maswali ukiulizwa ni faida kwa umma tulio wengi haswa ikiwa muuliza maswali na mjibu maswali wataongozwa na mantiki. Huku ndiko kufikiri kwa misingi ya dhana.
I think, kwa hapo nyuma STUNTER aliwahi kum-interview Nyani Ngabu . Kupitia maswali na majibu ya NN nilijifunza mengi. Tujifunze kutokana na wenzetu, hii ndiyo nidhamu ya kiakili. Na nidhamu kwa lugha rahisi yamaanisha kujifunza.
Pia FaizaFoxy ana darasa lake, Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa, huku pia tulizidi kudhihirisha unazi wetu kwa kuuliza maswali ya hovyo (Kumradhi). Then back the stage tukielezwa ukweli tunang'aka. Kutambua ujinga wetu ni hatua muhimu ya awali ya kujifunza.
Nakubali kupishana kimawazo na ndiyo maisha. Mwenzio akikuzidi shukuru na ujifunze kwake. Ukiona mwenzio uelewa wake uko chini au misimamo yake inachanganya basi mvumilie na jaribu ku-balance kwa kujadili naye kwa hekima.
Kama sisi binadamu ni viumbe wenye akili, matendo yetu lazima yalingane na maumbile yetu. Hivyo vitendo vyetu vinakuwa vitendo vya kiakili, na kwa msingi huo hutupasa kutenda kitu chochote kulingana na maumbile yetu. Hivyo kusema kuwa binadamu ni kiumbe mwenye akili ni karibu na kusema kuwa binadamu yampasa kutenda matendo ya kiakili.
Kumradhi kwa niliowataja kwa upuuzi huu, pia heshima tele kwa Maserati .
Asalaam.
UhWengi tunamjua kama maserati, kiukweli ni binti mdogo Mrembo mstarabu mcha Mungu na mwenyewe kiu ya maendeleo zaidi
Leo baada ya kutumia wiki moja hatimaye nimefanikiwa kumshawishi kukubali kujibu maswali yangu yenye nia ya kumfahamu pia kujifunza mengi
Naomba wapenzi msiingize mambo binafsi na migogoro!
Maserati atajibu maswali yenu baada ya usaili
Tafadhali kuwa mstarabu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute amekufananisha Na mchepuko wake!![emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Ananikomalia niseme chuo gani na coz gani,nimemtajia coz nkamwambia siwezi kutaja chuo mitaji expose kwa ndugu zangu waliomo humu,Ndio kafikia huko. Muache alalamike,since haniongezei Wala kunipunguzia kitu
Hiyo ni signature yangu kwa watoto Wa kike wote humuKwa nini unamuita baby?
Mkuu ujue kutofautisha interview!!Heshima Mkuu, Saint Ivuga .
FYI anaye-present HARDtalk ( A current affairs interview programme on BBC World News) ni Stephen Sackur na sivyo kama ulivyomuandika. Huyu Steven tucker ni mwingine kabisa, www.tuckermedical.com/about-dr-steven-tucker/.
Back to the topic, hatuna skills japo a, b, c's za uulizaji wa maswali. Kuna baadhi ya maswali ukiulizwa ni faida kwa umma tulio wengi haswa ikiwa muuliza maswali na mjibu maswali wataongozwa na mantiki. Huku ndiko kufikiri kwa misingi ya dhana.
I think, kwa hapo nyuma STUNTER aliwahi kum-interview Nyani Ngabu . Kupitia maswali na majibu ya NN nilijifunza mengi. Tujifunze kutokana na wenzetu, hii ndiyo nidhamu ya kiakili. Na nidhamu kwa lugha rahisi yamaanisha kujifunza.
Pia FaizaFoxy ana darasa lake, Faidika na darsa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa, huku pia tulizidi kudhihirisha unazi wetu kwa kuuliza maswali ya hovyo (Kumradhi). Then back the stage tukielezwa ukweli tunang'aka. Kutambua ujinga wetu ni hatua muhimu ya awali ya kujifunza.
Nakubali kupishana kimawazo na ndiyo maisha. Mwenzio akikuzidi shukuru na ujifunze kwake. Ukiona mwenzio uelewa wake uko chini au misimamo yake inachanganya basi mvumilie na jaribu ku-balance kwa kujadili naye kwa hekima.
Kama sisi binadamu ni viumbe wenye akili, matendo yetu lazima yalingane na maumbile yetu. Hivyo vitendo vyetu vinakuwa vitendo vya kiakili, na kwa msingi huo hutupasa kutenda kitu chochote kulingana na maumbile yetu. Hivyo kusema kuwa binadamu ni kiumbe mwenye akili ni karibu na kusema kuwa binadamu yampasa kutenda matendo ya kiakili.
Kumradhi kwa niliowataja kwa upuuzi huu, pia heshima tele kwa Maserati .
Asalaam.
Wewe unadhani mzee mwenzio hiyo!!Uh
Wewe umejuaje ni binti mdogo mstaarab?
yaan mmemuandama muosha rungu mpaka nimebaki nacheka tuuNikosa kwa mwanaume aliekamilika kutumia neno (my).
Umeona baby! Ila mm sijali ndio nakuwa guru zaidiyaan mmemuandama muosha rungu mpaka nimebaki nacheka tuu
una miaka mingap mr.guru ,,kama hutojali
Ngono tu ndo hutaki!!One of the stupidy interview/hot seat ever
Maswali ya kipumbavu na kuwaza ngono tu.
Foolish
Sent using Jamii Forums mobile app
We mbilikimo acha uchocheziKwa nini unamuita baby?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo hajakosea caz baby kwa karne hii ni neno la kawaida ambalo watu tunalitumia saaana mitaaniWe mbilikimo acha uchochezi