Mrembo maserati interview! Live

Hakika, maswali ya kipuuzi utadhani ana m interview mtoto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.

Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...

Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.

Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...

She is better than that...

Kwaherini wajukuu zangu
 
Kwa kweli.
Maserati ni mvumilivu sana.
Mimi nisingejibu .
Yaani maswali siyo hadhi yake kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Muliza maswali cjui anatoka mkoa gani anawaza ngono tu

young kilimanjaro
Yaani akitoka kwenye ngono anakuja kwenye maswali ya kijinga, Mara sijui nani na nani wa jf unamkubali nani.
Sasa ili iweje,? Akijibiwa anarudi kwenye maswali ya ngono.
Anadhani watu tunasoma hapa sisi ni wajinga sijui.
Kama hawezi aachie watu wanaoweza.
Watu na fan zao akina kiwatengu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatarious in Maserati voice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…