Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intaviu sio mbaya lkn aina ya maswali yamejaa udhalilishaji...mwanamke aheshimiwe sana sana
Sehemu ipi kivipi Yaani??
Yes , mtu anajitahidi awe na idadi nyingi za post but ikisoma anachoanzisha au kuccoment ni mixer ya mashudu na mabura.Jamiiforum freshmen class of 2017.asilimia kubwa ya mashudu yanayoletwa jf hivi sasa ni hawa madogo wa ingizo jipya
Jamaica
100% .Intaviu sio mbaya lkn aina ya maswali yamejaa udhalilishaji...mwanamke aheshimiwe sana sana
Wanatuharibia barza.Yes , mtu anajitahidi awe na idadi nyingi za post but ikisoma anachoanzisha au kuccoment ni mixer ya mashudu na mabura.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu boresha maswali...achana na kuuliza maswali binafsi hasa ya ndani yatawaletea shida dada zetu...tafadhali hujachelewa pitia intaviu za wengine uboreshe na uwe tayari kujifunza
399%All of the above are foolishness
Naenda tu life style yao..na tamaduni zao
Nikosa kwa mwanaume aliekamilika kutumia neno (my).
Washamba,kwa kweli mwanamke hapigwi. Yaani sipend mtu anapiga mwanamke na ninapinga hicho kitu