Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Una wasiwasi na mtu usie mfahamu??
Ni vizuri kujifanya unamfahamu mtu,lakini si vizuri kuandika usio yajua kuhusu yeye. Mimi si mchana na elimu yangu ni bachelor degree.
OK..ila ungejibu sio au ndio, af nimeuliza maswali 5 wewe umeona moja.

young kilimanjaro
 
OK..ila ungejibu sio au ndio, af nimeuliza maswali 5 wewe umeona moja.

young kilimanjaro
Lazima nikuelekeze,inawezekana umeelekezwa vema na wazazi lakini kuna machache wamesahau sio mbaya walimwengu tukakuambia.
BTW
Hapana sitaki kuwa mwanasiasa.
Nchi inaelekea kubaya sana,uchumi unazorota mno. Wananchi hawatendewi haki na demokrasia inabakwa.
 
Umejibu vizuri!..ila hyo cjui wazazi na nini cyo mahali pake

young kilimanjaro
 
Lazima nikuelekeze,inawezekana umeelekezwa vema na wazazi lakini kuna machache wamesahau sio mbaya walimwengu tukakuambia.
BTW
Hapana sitaki kuwa mwanasiasa.
Nchi inaelekea kubaya sana,uchumi unazorota mno. Wananchi hawatendewi haki na demokrasia inabakwa.
Baby nimerudi are you okay!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilianza kufuatilia hii interview mwanzoni... nikapotea baada ya kuona aina ya maswali anayoulizwa.

Nimerudi ili nione kama mwelekeo umebadilika lakini naona mwendo ni uleule...

Nampongeza Maserati kwa kuwa na moyo wa uvumilivu kujibu maswali kama haya... tena so openly.

Maserati si mtu wa kumuuliza viswali vya kitoto namna hii...

She is better than that...

Kwaherini wajukuu zangu
Nisubiri babu
 
Back
Top Bottom