atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Aisee wivu huu!Sirediiii closed.
Mpaka apatikane mtaalamu anayejua Ku host.
Huyu ??? Atamuuliza ulishawahi kunyonya dushe??
Hahahahahahaha.Huyu ??? Atamuuliza ulishawahi kunyonya dushe??
Ulijisikiaje baada ya kunyonya?
Ulishawahi Kufika kileleni?
Ulitukana matusi gani ulivyofika kileleni?
Sijui nani na dark Angel ambaye ana kimbelembele.
Nondo atatoa wapi.[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
So sadMuosha rungu.
Uliza maswali constructive.
Hata kama ni chit chat but yakiwa constructive kuna watu wana gain kitu.
Sasa maswali mengi yako yapo kwenye ngono.
Unataka umpigie puli kipenzi changu?
Watch out.
Maserati Is very potential, shes bright and educated enough.
Uliza maswali magumu.
Gotcha?...
Im out.
Hapana sijawahi. Na sitawahi
Yani kauliza miswali mingi ya kijinga wakati angeza kuuliza maswali mawili yenye akili akajibiwa jibu la jumla na kuhama huko kwenye ngonoYaani akitoka kwenye ngono anakuja kwenye maswali ya kijinga, Mara sijui nani na nani wa jf unamkubali nani.
Sasa ili iweje,? Akijibiwa anarudi kwenye maswali ya ngono.
Anadhani watu tunasoma hapa sisi ni wajinga sijui.
Kama hawezi aachie watu wanaoweza.
Watu na fan zao akina kiwatengu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila mwanamke ni bora,inategemea na mazingira,matunzo na jinsia unavyomchukulia wewe na perception anayojijengea katika jamii. Lakini kila mwanamke ni bora
Hakuna wanapokosea,ni wanaume na mawazo yao au jamii nzima jinsia inavyomchukulia single mother. Lakini Mara nyingi wanakuwa watu ambao wana pambana sana kwa ajili ya watoto wao.
Duh!!!maisha ya kutokuwa na pesa kwangu ni zaidi ya ugumu unao ufikilia.
Maswali ya kumdhalilisha mwanamke mkuu jirekebisheMuuliza na maswali ni kilaz.a sijapata ona
Sent From My Nokia Ya Tochi
Wa tatu
Kwanini ndoa nyingi zinafeli,upo tayr kuishi Na mume mleviHakuna wanapokosea,ni wanaume na mawazo yao au jamii nzima jinsia inavyomchukulia single mother. Lakini Mara nyingi wanakuwa watu ambao wana pambana sana kwa ajili ya watoto wao.
Huyu jamaa anadhalilisha sana siungi mkono hoja
Ndoa zina feli kwa sababu wanandoa wali harakia ndoa,kuyojuana vizuri na kutokuwa tayari kwa majukumu ya ndoa.
Sehemu IPI kwako ni nzuri kwa kijana anayetafuta lifeNdoa zina feli kwa sababu wanandoa wali harakia ndoa,kuyojuana vizuri na kutokuwa tayari kwa majukumu ya ndoa.
Mwanaume mlevi nae mwanaume pia.
Neibaaaaaaaaaaaaaaaaa...Huyu jamaa anadhalilisha sana siungi mkono hoja