Mrembo maserati interview! Live

Mrembo maserati interview! Live

Pesa Ndio kila kitu,bila pesa Hata hiyo elimu hupati.

And when it comes to success kwa kutumia elimu ya bongo,mafanikio ni 0,labda elimu ambayo wanaitumia huko nje wenzetu.

And unaweza usiwe na elimu lakini ukajua kuzichanga.
NB:simaanishi watu wasisome hapana,elimu ina umuhimu wake
 
Back
Top Bottom