Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,085
Sijambo,mambo mambo???Maserati hujambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo,mambo mambo???Maserati hujambo
You didn't spend even a single sh?? Peni??karatasi or laptop ulipewa bure??I wrote my book nkaingia mkataba na printing companies, na wasambazaji wakakata share kwenye copy zangu.
There is part of me which believe in lucky. Since kijana sio teenager analoona nzuri afate mbaya aliache,lakini elimu ina play part yake katika maisha yetu.
You didn't spend even a single sh?? Peni??karatasi or laptop ulipewa bure??
Kwa kweli inategemea na akili ya mtu,wengine wazazi wao are very wealth and rich lakini wakiachiwa kitu kinafail and the vice versa.
Bachelor degree in........ mwaka..... chuo......Bachelor Degree
Utakuwa msukuma wewe!Wakurya,wajaluo,wajita,wapare.
In marketing..2016Bachelor degree in........ mwaka..... chuo......
Sent using Jamii Forums mobile app from my Android phone
Unaweza andaa kadri utakavyo lakini unajua kama kuna kichwa vizito???Lkn akili inalelewa maserati, inaandaliwa ujue
since you use even a single cash,you sail in my boat. Hata hiyo mia 500 watu inawapiga chenga nduguThose were my fixed capital, i had them b4, but pen etc, sidhani hata kama 10,000 zitafika.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Njoo jibu maswali huku mmejificha wapi na huyo muosha rungu au ndo mnaoshana marungu.?
Kwani wote wanaokwenda huko wana kwenda kujiajiri???wengine wana kwenda kuajiriwa tu."Luck..?" There is no lucky in bussiness, there is opportunity, What do you say about the concept of " risk taking in general though.