Mrembo mwenye umbo matata 'Posh Queen' asema hataki kuajiriwa ili awe free na umbo lake

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564

Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’

SITAKI!
Mlimbwende matata mitandaoni (socialite) wa Bongo, Jacqueline Obeid ‘Posh Queen’ ambaye hivi karibuni alitengeneza vichwa vya habari mitandaoni baada ya kuwa ni msichana mwenye umbo kali aliyemaliza Stashahada ya Insurance and Risk Management katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) cha jijini Dar, amesema hataki kuajiriwa kwani anajua atakavyosumbuliwa.



Posh aliiambia Over Ze Weekend kuwa, anamshukuru Mungu kwani hata alipokuwa chuoni alikuwa ameshaanza kufanya biashara hivyo baada ya kumaliza chuo atajiari mwenyewe. “Sitaki kuajiriwa maana najua nitakayokutana nayo. Ni bora kujiajiri mwenyewe nitakuwa huru na umbo langu,” alisema Posh mwenye mzigo wa maana nyuma.
 
Sasa kwa kaumbo gani hakoo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aache utani aisee unaweza pita ofisini ukakutana na Umbo mpaka ukabaki unashangaaa..
 
Kwa "bidhaa "alizonazo lazima aanze kuziuza huko huko chuoni!
Haya wakora bidhaa iko mtaani sasa keshapata ujuzi wa kujimanage mnakaribishwa.waweekezaji.
Kitaa tunawajua mabint ambao wako vyema kweli kweli na hawana hofu wa kujiariwa hawajitangazi na wala hawasumbuliwi .
Ajiunge tu ma wadangaji wenzake asitushughulishe
 
nani amuajiri kwa mfano!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…