Mrembo mwenye umbo matata 'Posh Queen' asema hataki kuajiriwa ili awe free na umbo lake

H
Hana jipya.
 
siku hizi kalio ndio uzuri?........
.

aiseee aliesema IQ ya wabongo ni ndogo alikua sahihi
 
Kwahiyo anamaanisha wanaume wakware wapo maofisini pekee? Huko kwenye biashara anakutana nyuki wa mashineni?

Nisaidie kumuuliza halafu ulete majibu
Anataka biashara za kwenda China na kula bata Dubai, kwa hiyo ajira itambana!
 
Tuerny hana matako ya huyo mtoto mkuu waangalie vizuri mkuu

Halafu huyo Tuerny katulia nini ? Labda kama humjui kaanzie kwao pale Magomeni upate file lake.
Hahah sasa ishu ni matako au mvuto bablae. Kwangu mie sioni cha ajabu kwa huyo posh queen maana uzuri wake labda akatwe kichwa
 
Fresh tu, mtu kama siku ya graduation tu anamiliki iPhone mbili zenye thamani ya 5M (daah ningeongezea kwenye mradi wangu wa ufugaji aisee ningetoka)
 
Wajameni hii JF leo kila page ukifungua yanaonekana manyotanyota, kulikoni?
 
Zile iphone X mbili si ndo alizipata kwa usunbufu huo....
 
Yaani,kuna watu wanafaidi kwa kweli.Mtoto natural tako,maana niliona yupo picha moja na mama yake.Wote mashallah kabisa(Wazee tutafuteni hela tuu)
 
Yaani,kuna watu wanafaidi kwa kweli.Mtoto natural tako,maana niliona yupo picha moja na mama yake.Wote mashallah kabisa(Wazee tutafuteni hela tuu)
Mkuu si wengine hatunaga makuu, kimbilio letu ni kimboka na sugar ray
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…