Mrembo mwenye umbo matata 'Posh Queen' asema hataki kuajiriwa ili awe free na umbo lake

Akachukue tu machine ya EFD awe anatoa risiti kwa huduma anazotoa, in fact ni biasha kongwe duniani.
 
Tuerny hana matako ya huyo mtoto mkuu waangalie vizuri mkuu

Halafu huyo Tuerny katulia nini ? Labda kama humjui kaanzie kwao pale Magomeni upate file lake.
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Hongera Dada ila hata ufanyeje kwa umbo Hilo huchomoki hata ukijiajiri lazima usumbuliwe. Kumbuka ww ni wa ubavuni kwetu
 
Anafanya matangazo tu huyu...analiwagwa kama wote tu
 
haya mavitu amebeba huya yanalegea mwisho wa siku inaanzu kuwa mtihani kuyaweka sawa. Mi naendelea kumuangalia anavyotamba saiv. . . .baadae atatumia nguvu nyingi sana kumaintain hilo hali aliyojitengenezea
 
Umeenda mbinguni kwa ukweli ulioufafanua hapa Mkuu.
Sasa kwa kaumbo gani hakoo???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aache utani aisee unaweza pita ofisini ukakutana na Umbo mpaka ukabaki unashangaaa..
 
Kuna yale matunda hutokaga kwenye mti mkubwa hivi unaofanana na mzeituni, ukiyaangalia kwa macho muonekano wake wa nnje hakika ni lazima utavutiwa nayo tu kwa jinsi yanavyopendeza sana.

Jichanganye kuyapasua sasa ili uyaone jinsi yalivyooza kwa ndani ukutane na vunza ambapo huwezi hata kuamini kama ndiyo yenyewe yalikuwa yanakuvuti kwa uzuri wa mwonekano wa nnje.

UZURI WA MWANAMKE SI UREMBO BALI NI TABIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…