Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Duh! Uzuri ni Member humu JF your comment uenda akawa ameiona so be prepared unaweza kupewa mualiko kwenda kuthibitisha.

Ila hata mimi nipo vizuri if Kipanya hatakuwa bize naweza kumuwakilisha na hutojuta.
😂😂Kuna watu ukiwaangalia hata kwa picha unajua tu huyu fundi, nk sio mpaka niwe nae nilienae huku ana character km za huyo Masoud(wananyandua km wapo kwenye kuwania tuzo) wapewe maua na kujengewa mnara
 
Unathibitisha tabia moja ya Watanzania wengi kama wewe, ya kujifanya unamjua mtu kuliko unavyomjua. Na kumnyanyapaa mtu bila sababu.

Yani unanionea kijicho sana mpaka unaanza kunitungia upweke ambao mimi sina na kwa mtu mwenye mindset yangu siwezi kuwa nao.

Watu celebral hawawezi kuwa wapweke.

Upweke ni nini?

Define muda mwingi. Na wewe unajuaje mimi natumia muda mwingi JF? JF ni wapi?

Siwezi kukaa beach Atlantic City, NJ, halafu nikawa JF pia?

Ikiwa naweza, hapo nitakuwa beach Atlantic City, NJ? Au nitakuwa JF?

Ukiniona niko very active JF weekend moja niliyoamua kutulia tayari ushasema muda mwingi natumia JF?

Yani ushajivika kunijua sana hivyoo?

Nipo zaidi ya JF, ila JF ndipo unaponiona wewe tu.

Mtu kama mimi siwezi kuwa mpweke.

Kwanza huo unaouita upweke, mimi nauona utulivu. Yani ningependa kuwa na muda wa utulivu mwenyewe zaidi ya ninaoupata sasa.

Leo hii nimealikwa barbecue lakini sijataka kwenda. Nimeamua kupumzika tu.

Pili, mimi mtu well connected na jamii, jana nimepokea kijana katoka bongo kaja kwenye scholarship hapa US nilikuwa namuonesha sehemu sehemu. Nimemueleza akikosa pa kufikia anaweza kukaa kwangu.

Tatu, nina uwezo mkubwa wa kufanya vitu kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa hivyo hapa unaweza kuniona niko JF ukafikiri mimi nina one track mind, kumbe ninafanya vitu vinne vingine tofauti.

Nne, nina vitabu zaidi ya 10,000 vya kusoma. Hivyo ni hard copies tu, bado soft copies ndiyo kama vyote, kwenye laptops zaidi ya 30 na tablets zaidi ya 50.

Yani nikiwa bored ku charge tablets na laptops tu tayari ni activity.

Tano, nina movies zaidi ya 50,000 on top of streaming services like Netflix and Amazon.

Sita, nina familia yangu ambayo nipo karibu nayo sana. Siwezi kukosa family activities na obligations.

Saba, at any point kuna wanawake wazuri wasiopungua 6 wanataka kuwa nami. Mimi ndiye mpaka nawakimbia. Tena wengine nina import kutoka nchi za nje, wiki ya juzi nilikuwa na mmoja kutoka Canada, na jana kuna mwingine kutoka Canada alikuwa basically ananiomba kuja tuwe pamoja. Mimi mwenyewe ndiyo nakuwa kama namdengulia.

Nane, nina kazi zangu nyingi sana, personal na professional za kuni keep busy. Yani nikiwa bored naweza ku pick a project tu kupanda maua ya rose ninayopenda nyumbani, au kupaka rangi any one of my houses.

Tisa, nina gym nzuri ya nyumbani na membership ya gym ninayoweza kwenda almost siku yoyote, tena nikapeleka na mgeni.

Kumi, nina porch yenye grill na a fully stocked kitchen upstairs and an additional freezer and a fully stocked bar in the garage.

Bonus point, nina BMW X5 iliyojaa mafuta imepaki nje.

And I didn't even get to the 2 petabyte storage, do you even know what a petabyte is?

Hapo upweke unaanzaanzaje?
Mwamba ww ninoma, Mungu akubariki sana mkuu.
 
Nargis Mohammed, mtoto mzuri sana...alishaolewa ila anazeeka na uzuri wake, I like her japo amenizidi umri

Screenshot_20230704-195844~2.jpg
 
Aisee🙌🙌
 
Back
Top Bottom