Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Hamna hiyo ilikuwaga kitambo km sikosei 2004 nilienda kwenye hiyo harusi ya Seba na dr Rose diamond ndio nikawaona Nargis na Kipanya wanachombezana mahaba km yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku komando anaperfom akishuka naye wanabebishana na G wake nakumbuka mpk dress ya komandoo ilikuwa gold, Nargis alivaa green apple alafu mguu wake mmoja km una shida!!
Shemeji duuuh. 😅😅😃
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" [emoji28]
Hakuna cha nyota wala nini ,ni pesa tu
 
Mtoto kakua siku hizi huyu.

Nakumbuka alikuwa mdogo anasoma Esacs Academy Mbezi Tangi Bovu.

Alikuwa akiniona anajichekesha anataka kuniamkia hapo hapo anataka kujifanya mkubwa.

Siku moja kabla sijasafiri kuja Marekani nikakutana naye Empire hapo, nikamwambia mimi nakipa kitu kesho.

Nikapata ma hug ya little sister ya baraka za kuagia kwetu, good luck charm, nimeaga kwetu mpaka kwa socialites, sishindwi kitu.
Ili Mkuu Huko Marekani utakuwa mpweke sana maana muda mwingi unaspend sana JF?
 
Ili Mkuu Huko Marekani utakuwa mpweke sana maana muda mwingi unaspend sana JF?

Unathibitisha tabia moja ya Watanzania wengi kama wewe, ya kujifanya unamjua mtu kuliko unavyomjua. Na kumnyanyapaa mtu bila sababu.

Yani unanionea kijicho sana mpaka unaanza kunitungia upweke ambao mimi sina na kwa mtu mwenye mindset yangu siwezi kuwa nao.

Watu celebral hawawezi kuwa wapweke.

Upweke ni nini?

Define muda mwingi. Na wewe unajuaje mimi natumia muda mwingi JF? JF ni wapi?

Siwezi kukaa beach Atlantic City, NJ, halafu nikawa JF pia?

Ikiwa naweza, hapo nitakuwa beach Atlantic City, NJ? Au nitakuwa JF?

Ukiniona niko very active JF weekend moja niliyoamua kutulia tayari ushasema muda mwingi natumia JF?

Yani ushajivika kunijua sana hivyoo?

Nipo zaidi ya JF, ila JF ndipo unaponiona wewe tu.

Mtu kama mimi siwezi kuwa mpweke.

Kwanza huo unaouita upweke, mimi nauona utulivu. Yani ningependa kuwa na muda wa utulivu mwenyewe zaidi ya ninaoupata sasa.

Leo hii nimealikwa barbecue lakini sijataka kwenda. Nimeamua kupumzika tu.

Pili, mimi mtu well connected na jamii, jana nimepokea kijana katoka bongo kaja kwenye scholarship hapa US nilikuwa namuonesha sehemu sehemu. Nimemueleza akikosa pa kufikia anaweza kukaa kwangu.

Tatu, nina uwezo mkubwa wa kufanya vitu kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa hivyo hapa unaweza kuniona niko JF ukafikiri mimi nina one track mind, kumbe ninafanya vitu vinne vingine tofauti.

Nne, nina vitabu zaidi ya 10,000 vya kusoma. Hivyo ni hard copies tu, bado soft copies ndiyo kama vyote, kwenye laptops zaidi ya 30 na tablets zaidi ya 50.

Yani nikiwa bored ku charge tablets na laptops tu tayari ni activity.

Tano, nina movies zaidi ya 50,000 on top of streaming services like Netflix and Amazon.

Sita, nina familia yangu ambayo nipo karibu nayo sana. Siwezi kukosa family activities na obligations.

Saba, at any point kuna wanawake wazuri wasiopungua 6 wanataka kuwa nami. Mimi ndiye mpaka nawakimbia. Tena wengine nina import kutoka nchi za nje, wiki ya juzi nilikuwa na mmoja kutoka Canada, na jana kuna mwingine kutoka Canada alikuwa basically ananiomba kuja tuwe pamoja. Mimi mwenyewe ndiyo nakuwa kama namdengulia.

Nane, nina kazi zangu nyingi sana, personal na professional za kuni keep busy. Yani nikiwa bored naweza ku pick a project tu kupanda maua ya rose ninayopenda nyumbani, au kupaka rangi any one of my houses.

Tisa, nina gym nzuri ya nyumbani na membership ya gym ninayoweza kwenda almost siku yoyote, tena nikapeleka na mgeni.

Kumi, nina porch yenye grill na a fully stocked kitchen upstairs and an additional freezer and a fully stocked bar in the garage.

Bonus point, nina BMW X5 iliyojaa mafuta imepaki nje.

And I didn't even get to the 2 petabyte storage, do you even know what a petabyte is?

Hapo upweke unaanzaanzaje?
 
Define muda mwingi. Na wewe unajuaje mimi natumia muda mwingi JF? JF ni wapi?

Ukiniona niko very active JF weekend moja niliyoamua kutulia tayari ushasema muda mwingi natumia JF?

Yani ushajivika kunijua sana hivyoo?

Nipo zaidi ya JF, ila JF ndipo unaponiona wewe tu.

Mtu kama mimi siwezi kuwa mpweke.

Kwanza huo unaouita upweke, mimi nauona utulivu. Yani ningependa kuwa na muda wa utulivu mwenyewe zaidi ya ninaoupata sasa.

Leo hii nimealikwa barbecue lakini sijataka kwenda. Nimeamua kupumzika tu.

Pili, mimi mtu well connected na jamii, jana nimepokea kijana katoka bongo kaja kwenye scholarship hapa US nilikuwa namuonesha sehemu sehemu. Nimemueleza akikosa pa kufikia anaweza kukaa kwangu.

Tatu, nina uwezo mkubwa wa kufanya vitu kadhaa kwa wakati mmoja. Kwa hivyo hapa unaweza kuniona niko JF ukafikiri mimi nina one track mind, kumbe ninafanya vitu vinne vingine tofauti.

Nne, nina vitabu zaidi ya 10,000 vya kusoma. Hivyo ni hard copies tu, bado soft copies ndiyo kama vyote, kwenye laptops zaidi ya 20 na tablets zaidi ya 40.

Tano, nina movies zaidi ya 50,000 on top of streaming services like Netflix and Amazon.

Sita, nina familia yangu ambayo nipo karibu nayo sana. Siwezi kukosa family activities na obligations.

Saba, at any point kuna wanawake wazuri wasiopungua 6 wanataka kuwa nami. Mimi ndiye mpaka nawakimbia. Tena wengine nina import kutoka nchinza nje, wiki ya juzi nilikuwa na mmoja katika Canada, na jana kuna mwingine kutoka Canada alikuwa basically ananiomba kuja tuwe pamoja. Mimi mwenyewe ndiyo nakuwa kama namdengulia.

Nane, nina kazi zangu nyingi sana, personal na professional za kuni keep busy. Yani nikiwa bored naweza ku pick a project tu kupanda maua ya rose ninayopenda nyumbani, au kupaka rangi any one of my houses.

Tisa, nina gym nzuri ya nyumbani na membership ya gym ninayoweza kwenda almost siku yoyote, tena nikapeleka na mgeni.

Kumi, nina porch yenye grill na a fully stocked kitchen upstairs and an additional freezer and a fully stocked bar in the garage.

Bonus point, nina BMW X5 iliyojaa mafuta imepaki nje.

And I didn't even get to the 2 petabyte storage, do you even know what a petabyte is?

Hapo upweke unaanzaanzaje?
Pongezi sana.. kama kijana wa Tanzania ninawish nifike hata robo ya uliyoandika ni kama inspiration.

Tukirudi kwenye mada upo Marekani na lifestyle yako ipo kama hapo juu ulivyoandika na bado muda mwingi unaspend sana JF mkuu kuna sehemu utakuwa umezidisha chumvi.

Na kutumia muda mwingi JF sio kosa kisheria
 
Hakuna cha nyota wala nini ,ni pesa tu
Ukiwa na hela unaweza kumpandisha demu ndege kutoka Egypt kwa farao hadi Bongo ukamla vya kutosha kama ambavyo Dada zetu wa Kibongo wanavyopeleka nyuchi Dubai.

Hela ndiyo kila kitu kwasasa
 
Pongezi sana.. kama kijana wa Tanzania ninawish nifike hata robo ya uliyoandika ni kama inspiration.

Tukirudi kwenye mada upo Marekani na lifestyle yako ipo kama hapo juu ulivyoandika na bado muda mwingi unaspend sana JF mkuu kuna sehemu utakuwa umezidisha chumvi.

Na kutumia muda mwingi JF sio kosa kisheria
Mkuu,

Kwa nini unaninyanyapaa bila sababu? Mimi nimekukosea nini?

Kama hobby yangu ni ku connect na wabongo JF, kwa nini hilo ni tatizo kwako? Kwa nini hilo unaliita upweke?

Na unajuaje huo unaouita upweke wewe mimi siuoni utulivu ninaoutaka?

Unataka kunipangia muda wa kukaa JF sasa?

Hivi unaumia sana ukiona nimepost kitu JF?

Nilipozidisha chumvi wapi?

Mbona unaninyanyapaa bila sababu?

Mbona una mawazo ya kichawichawi wewe?

Wewe una matatizo gani ya kisaikolojia mpaka uninyanyapae hivi mtu hunijui sikujui?

Kama hupendi kuona posts zangu niweke ignore list tu, hutaona chochote ninachopost.

How about that?
 
Mkuu katika member nao wakubali humu JF wewe ni miongoni mwao ndio maana nikiona post umeshiriki nakuja mbio kuangalia umeandika nini. Kupitia hiyo imefanya nigundue kuwa upo active sana na una reply.

Kupitia Elimu yangu ya Cuba Nikabaki najiuliza inakuaje mtu yupo Marekani lakini yupo too much concern na mtandao unaotumia na Wengi ambao wapo Tanzania ina maana huko Dunia ya kwanza hamna Forums ambazo zipo vizuri zaidi ya JF au pengine Mwenzetu Lugha haipandi inakuwa ngumu kuinteract na Wa USA ameamua kurudi uwanja wa nyumbani.

Kwa haraka jibu likaja kuwa yawezekana kuwa ugenini kunaweza kukufanya kuwa mpweke na njia nzuri ya kuondoa upweke ni kuwasiliana na watu wa nyumbani.

Sio kweli siwezi kumnyanyapaa mtu ambaye nina mengi ya kujifunza kutoka kwake

Comment yangu ni normal opinion haina chuki wala dhihaka pengine umenitafsiri tofauti Always i'm humble.
 
Naogelea kwenye bahari ya content za Marekani, cable news, newspapers, magazines, books, people at work, networking events, community events, people I meet at the mall. Nipo Quora, nipo Reddit, nipo mitandao mingi sana, mpaka mingine najisahau nilikuwepo tayari, nataka ku sign up upya, naambiwa una account tayari.

JF ni kati ya outlets chache za ku interact na watu wa Tanzania. Na mimi napenda ku interact na Watanzania baada ya ku interact sana na Wamarekani.

Hapa nilipo kuwa mpweke utake mwenyewe tu, sasa hivi naweza kwenda kwenye barbecue, au mimi mwenyewe naweza kuanzisha barbecue nikaalika watu, naweza kwenda shopping, naweza kwenda museum, naweza kwenda movie, naweza kwenda park, naweza kwenda cycling, naweza kwenda swimming, vitu vingi zaidi ya muda. Kuna rafiki zangu Wa Pakistani wamenialika kwenda kwao kula Idi, sijataka kwenda tu.

Wiki hii nakutana na boss wangu mmoja tulifanya naye kazi Wall St., tunamfanyia party New York City amestaafu karibuni alikuwa boss wetu mzuri sana, tunakutana watu tulofanya kazi pamoja, mimi ndiye nina organize, hivyo nina contact former co-workers wote kufanikisha hili.

Hapo hapo aunt yangu anataka tupange kukutana anione kaja kutoka Tanzania.

Na wiki chache baadaye atakuja baba yangu, juu chini tutaonana.

Hapo hapo kuna mrembo kakodi hoteli Washington DC anataka twende ku spend weekend, wine tasting events and concerts, sasa hapo tayari nina conflict, huyu kakodi hotel tayari natakiwa niwe Washington DC, na huku New York City kuna party ya kumuaga boss wetu wa zamani, yani hata sijui nitajipasuaje niende wapi niache wapi, naweza kwenda party ya New York City Ijumaa, halafu nikaenda Washington DC Jumamosi kula raha na huyu dada.

Mtu nipo katikati ya mashughuli yote haya, upweke unaanzaje?

At this point mimi nataka kupunguza shughuli niwe na utulivu zaidi, yani huo unaouita upweke, mimi nauona utulivu, halafu nautamani.

Hii ni thread ya mdogo wangu Nargis, let's not make it about me.
 
Hamna hiyo ilikuwaga kitambo km sikosei 2004 nilienda kwenye hiyo harusi ya Seba na dr Rose diamond ndio nikawaona Nargis na Kipanya wanachombezana mahaba km yote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Huku komando anaperfom akishuka naye wanabebishana na G wake nakumbuka mpk dress ya komandoo ilikuwa gold, Nargis alivaa green apple alafu mguu wake mmoja km una shida!!
Ana mguu mmoja mfupi.
 
Back
Top Bottom