Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Daah namkumbuka aisee. Alikuwa mrembo kisha mtamuSource: TBC Television.
Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.
Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.
Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.