Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Ndo yule wa woman of principles
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" 😅
💯🤝
 
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
Hiyo sio nyota bali ni ulimbukeni. Mtu anayetoka katika familia maskini akipata kidogo inakuwaga shida
 
Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.
So what!
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" [emoji28]
Mzee alikuwa kauzu kinoma hataki watu wale starehe kama yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ndio wale wazee wanaosema mtoto hana ruhusa kula firigisi
 
Hahaha..............na hakuna aliyeweza kufikia Idadi yake hata kama umeanza kudate baada ya barehe 😅
 
Source: TBC Television.

Aliyewahi kuwa Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya.

Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Bangala. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa hana tena uhusiano na kimapenzi na Masoud Kipanya isipokuwa hayo yalitokea zamani bila kutaja mwaka.

Huyu Masoud Kipanya ana nyota ya wanawake sio bure.
Sasa huyo Muuza mwili kwani ni kipanya tu aliyepita nae?
 
Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" 😅
Sasa Masoud zama hizo akiwa na Nargis, alitoa wapi hela ilihali alikuwa hana ile kampuni ya Motors?
 
Back
Top Bottom