Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.

Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?

Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" [emoji28]
Anko hataki tufaidi aliyofaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Anko hataki tufaidi aliyofaidi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha.................lakini hata hivyo sisi wa kizazi cha sasa hatuwezi kuhimili Wanawake wote hao kutokana na ufinyu wa nguvu za Kiume.

Yaani unalala na Mwanamke mwezi mzima lakini unamgonga mara 5 au 7 tu, imagine hao 1,000 tungeweza kweli 🤪
 
Bora yeye mshua wake alikuwa anapiga mpaka wa wasaidizi wake akiona mzuri[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kitaa tunasema like father like son
Una maanisha Mfalme Daudi?

Ila katika mitume na manabii ni Yesu peke yake ndiyo hakuwahi kula mbususu

Ila wengine almost wote hadi hawa akina Gwajiboy wanajipigia tu hadi wasaidizi wao 🙌
 
Sasa Masoud zama hizo akiwa na Nargis, alitoa wapi hela ilihali alikuwa hana ile kampuni ya Motors?
Masoud amekuwa akijiweza kiuchumi tangu kitambo.

Na hawa wanawake slay Queen huhitaji kuwa na hela nyingi kulala naye, kama alichukuliwa na Kanumba na Prof Jay kwenye kazi zao, unadhani ukimwekea dau la 1,000k kulala naye atakataa.

Tena unaweza kupiga hata miguu yote ukitaka kwa hiyo hiyo amount tena usiku kucha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] David The Great
Ila kuna upendeleo kwa hawa manabii, yaani mtu anapiga hadi wake wa wasaidizi wao lakini still anabaki kuwa mtume wa Bwana.

Sisi huku baadaye wakatuwekea sheria eti Yeyote amuangaliaye Mwanamke kwa kumtamani ameshazini naye.

Yaani ukipiga umepiga usipopiga umepiga.

Kwahili naona njia ya mbinguni inazidi kuwa nyembamba🙌
 
Hee, hii kali..., ila sasa...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Mkuu nikushauri tu,genda genda mapori ni 50 elfu kwa heka,wamakonde walikula mijeledi ya mgongo na gesi ikaenda,so na wewe Mangi nenda kalime ndizi mapema vinginevyo huu ukeyboard warriors hapa hautokusaidia kitu.
 
Back
Top Bottom