Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hapo SasaKuna nini cha ajabu?.Au huyo dada sio mwanamke.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo SasaKuna nini cha ajabu?.Au huyo dada sio mwanamke.
Aliandika baada ya kula na kushiba au siyo? Acha nasi tule tushibe kwanza.Mkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.
Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?
Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" [emoji28]
Why ni kazi ya kipumbavu mkuu?Huyu mwanadada alikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuigiza. Aliigiza vizuri sana filam ya magic house na kanumba na pia kwenye ule wimbo wa prof. Jay. Lakini aliishia kufanya movie 3 tu. Nadhani aligundua sanaa ya bongo ni kazi ya kipumbavu.
Aache nasi tule tushibe tujionee wenyewe.Mpuuzi sana yeye kashakula utamu weeee baada ya hapo ndio anatuambia kujilisha upepo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe ni kimoja tu si lazima vyote?Wala si jambo la ajabu mwanamke atafata kwako fame, security, upendo, muonekano. So ukiwa na kimoja kati ya hivyo utawakula tuu
Wewe si mzima. You have a serious psychological problem. NB: not a joke.Nargis x wangu
Daaaaaah! Aisee kama kuna watakaopitisha hili, hao hata makaburi yao yatatakiwa yachapwe fimbo na vizazi vijavyo.Hee, hii kali..., ila sasa...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
📌security
TBC nao wanatangaza ujinga wa namna hiyo!?
Hataki wengine waonje alichoonja 😅😅Aliandika baada ya kula na kushiba au siyo? Acha nasi tule tushibe kwanza.
Ndiyo ile ya matajiri kusema hawana furaha na kuwa eti masikini wana furaha na wanawaonea wivu masikini[emoji23] porojo tupu[emoji2]
Tunachukulia kimasihara ila wengi waliofanikiwa hujikuta washauri mno... hasa katika vitu walivyopitia wao. Suleman alisema haya baada ya kushiba[emoji38]Hataki wengine waonje alichoonja [emoji28][emoji28]
Yaani yeye kawanyandua wakutosha [emoji1787][emoji1787]sisi kwetu ni ubatili mtupu sio hakiMkuu ukiwa na hela unaweza kuwakusanya hata Wanawake 10 kwa siku.
Unadhani Mfalme Suleiman asingekuwa na Hela angeweza kuwa na wanawake 700 na nyumba ndogo 300?
Ila baada ya kuwala wote hao baadaye akaja kuandika kitabu cha Mithali kutuonya Mimi na wewe kuwa "Yote ya Dunia ni kujilisha Upepo" [emoji28]
AiseeHuyu jamaa nae kafaidi watoto wakali
TBC sio ileeeeeTBC nao wanatangaza ujinga wa namna hiyo!?
Hahahaha..............itakuwa alifiriswi na hao warembo wake 1000 akaona atuonye akina Sisi 😅Tunachukulia kimasihara ila wengi waliofanikiwa hujikuta washauri mno... hasa katika vitu walivyopitia wao. Suleman alisema haya baada ya kushiba[emoji38]