Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.

DJ SEPETU

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
8,413
Reaction score
12,336
Asalaam alekhum!

Tumsifu Yesu kristu

Bwana Yesu asifiwe

Shalom

Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa Neema ya uhai Na afya njema!

Kwa wale wagonjwa na matatizo kadha tunawaombe mwenyezi Mungu awaponye Na awafanyie wepesi katika magumu wanayopitia!

Tunapenda kuwataarifu kuwa utakapojiri saa nne kamili,tutakuwa Na mtoto wa kizaramo mixture Na mndengereko richaabra!!

Atakuwa Ku share nasi mambo mtambuka ya kimaisha!
Bila shaka tutajifunza mengi toka kwake!

Asanteni!
DJ sepetu



DJ sepetu
 
Ujinga first degree

Sent from my Iphone 7 using JamiiForums mobile app

 
Wakati mh rais anapokea report ya almas tutakuwa tunajipoza

DJ sepetu
 
!
!
Duuuh huyo muintavyuiwa kapiga kimya. Ila dizaini kama ni upuuzi flani. Aaaah Okey jukwaa la mambo hizi
 
Five minutes to hit!

DJ sepetu
 
Jamani yeye atajibu maswali yenu baadae

DJ sepetu
 
Karibu sana richaabra habari yk

DJ sepetu
 
NIMEKARIBIA

RICHAABRA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…