DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
Asalaam alekhum!
Tumsifu Yesu kristu
Bwana Yesu asifiwe
Shalom
Hatuna budi kumshukuru mwenyezi Mungu kwa Neema ya uhai Na afya njema!
Kwa wale wagonjwa na matatizo kadha tunawaombe mwenyezi Mungu awaponye Na awafanyie wepesi katika magumu wanayopitia!
Tunapenda kuwataarifu kuwa utakapojiri saa nne kamili,tutakuwa Na mtoto wa kizaramo mixture Na mndengereko richaabra!!
Atakuwa Ku share nasi mambo mtambuka ya kimaisha!
Bila shaka tutajifunza mengi toka kwake!
Asanteni!
DJ sepetu