Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Mimi Niko poa
Hebu tupe ratiba yako ya siku

DJ sepetu
Huwa naamka saa 2

Kazi yangu ni ya saluni[emoji108] huvyo mda wa kazi huwa ni saa nne hadi saa 12 jioni

Saa 1 usiku hadi saa mbili huwa ni muda kupika nyumbani kwangu

Saa nne usiku hadi alfajiri 6kwa 6
 
Huwa naamka saa 2

Kazi yangu ni ya saluni[emoji108] huvyo mda wa kazi huwa ni saa nne hadi saa 12 jioni

Saa 1 usiku hadi saa mbili huwa ni muda kupika nyumbani kwangu

Saa nne usiku hadi alfajiri 6kwa 6
Richaabra ni nani hasa alizaliwa wapi ana umri gani ni mwanamke Wa aina gani

DJ sepetu
 
Richaabra ni nani hasa alizaliwa wapi ana umri gani ni mwanamke Wa aina gani

DJ sepetu
Jina langu halisi ni Nahya

Nimezaliwa Dar es salaam

Mwaka 1992

Umri 25

Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko

Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida

Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
7ecfb23a00307b87a5bab2aa7967d54d.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jina langu halisi ni Nahya

Nimezaliwa Dar es salaam

Mwaka 1992

Umri 25

Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko

Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida

Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu yake[emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahya!
Jina zuri
Malezi yepi umelelewa Na elimu yako ni kiwango gani

DJ sepetu
 
Nimelelewa malezi ya dini ya kiislam yaani malezi yenye maadili pia bila kusahau kufundwa mkoleni [emoji108] [emoji108] [emoji108]

Elimu yangu nimeishia ngazi ya Diploma
Kufundwa [emoji23] [emoji23] mkoleni
Diploma ya nn
Nini kilichokunufaisha ktk mkoleni
Ulifundwa ukiwa Na miaka mingapi

DJ sepetu
 
Jina langu halisi ni Nahya

Nimezaliwa Dar es salaam

Mwaka 1992

Umri 25

Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko

Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida

Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye ubora wako kabisa richaabra
 
Kufundwa [emoji23] [emoji23] mkoleni
Diploma ya nn
Nini kilichokunufaisha ktk mkoleni
Ulifundwa ukiwa Na miaka mingapi

DJ sepetu
Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom