Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Na mimi leo ngoja nijisogeze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa naamka saa 2Mimi Niko poa
Hebu tupe ratiba yako ya siku
DJ sepetu
Richaabra ni nani hasa alizaliwa wapi ana umri gani ni mwanamke Wa aina ganiHuwa naamka saa 2
Kazi yangu ni ya saluni[emoji108] huvyo mda wa kazi huwa ni saa nne hadi saa 12 jioni
Saa 1 usiku hadi saa mbili huwa ni muda kupika nyumbani kwangu
Saa nne usiku hadi alfajiri 6kwa 6
Jina langu halisi ni NahyaRichaabra ni nani hasa alizaliwa wapi ana umri gani ni mwanamke Wa aina gani
DJ sepetu
Nahya!Jina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo best hujanishtua hata[emoji57]Hahaha upo linamo!
DJ sepetu
Nimelelewa malezi ya dini ya kiislam yaani malezi yenye maadili pia bila kusahau kufundwa mkoleni [emoji108] [emoji108] [emoji108]Nahya!
Jina zuri
Malezi yepi umelelewa Na elimu yako ni kiwango gani
DJ sepetu
Subiri uone[emoji23] [emoji23]Hii interview ya mzaramo kumbe ngoja msukuma nikae pemben maana hawa watan siyo watu wa kimchezo mchezo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kufundwa [emoji23] [emoji23] mkoleniNimelelewa malezi ya dini ya kiislam yaani malezi yenye maadili pia bila kusahau kufundwa mkoleni [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Elimu yangu nimeishia ngazi ya Diploma
Kwenye ubora wako kabisa richaabraJina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]Kufundwa [emoji23] [emoji23] mkoleni
Diploma ya nn
Nini kilichokunufaisha ktk mkoleni
Ulifundwa ukiwa Na miaka mingapi
DJ sepetu
CuzoooHatimaye Leo nimewahi interview