Oohoo!Yeah nilishawahi kumtongoza mwanaume but kipindi sihayajua mapenzi
Wanaume madomo zege ndio nawapendaga maana wao hawanaga maneno mengi wao ni pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume wamezidi umalaya nowdays na wanawake tumzidisha mapenzi ya pesa na ndio maana tunaishia kuchezewa tu huku ndoa tunazisikia kwenye bombaOohoo!
Katika mahusiano kwann ndoa zimekuwa adimu Siku hizi
Wanawake wanakosea wapi
Kiasi cha waume kwenda nje
DJ sepetu
Jose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuuNATANGULIZA SAMAHANI KWA HAYA MASWALI TAFADHALI
Richabra kuna huu uzi WAKO hapa
Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa
Unasema wewe ulikuwa ni wa kiume?? ulimtoa bikira binamu yako?? ni kweli?? Halafu vipi mbona watu baada ya kukusakama kwenye ule uzi ukaufuta??
Huku umekuwa mwanamke,? Mbona kwenye huo uzi ulikuwa wa kiume
Kilitokea nini mpaka ikawa hivyo??
Halafu vipi mbona wengine wanakuita RICHARD ABRAHAM??
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana umewaza nini kuwa josse ni modJose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakn umekwepa ulichoulizwa jibu swali kwanza[emoji108] [emoji3] [emoji3]
Jamani huo uzi inaonekana mnaupenda sana
jibu swali[emoji108] [emoji3] [emoji3]
Jamani huo uzi inaonekana mnaupenda sana
Ulishawahi pinduliwa ktk mapenzi!?Wanaume wamezidi umalaya nowdays na wanawake tumzidisha mapenzi ya pesa na ndio maana tunaishia kuchezewa tu huku ndoa tunazisikia kwenye bomba
Kumbe ka jose huwa kanatupiga ban tukizingua duhJose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
acha utapeli brazaKuliwa niliwe mie kelele na miguno mpige nyie ? Inahusuuuu
Pamoja na hayo, mimi nataka kupata ufafanuzi tu kutoka kwako kwa maana bado najiuliza ulipost ule uzi ukisema wewe ni Wa kiume halafu kwenye huu uzi wewe ni wa kike, nitoe gizani tafadhali[emoji108] [emoji3] [emoji3]
Jamani huo uzi inaonekana mnaupenda sana
Richard abdalaKuliwa niliwe mie kelele na miguno mpige nyie ? Inahusuuuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mkuu mimi sio Moderator WATU WANANIZUSHIA TU, SIJAWAHI KUKUPIGA BAN MKUUJose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee jamaa wewe, hapana aisee si kweli[emoji23] [emoji23] [emoji56] [emoji56]
Boss jose nikizingua mtu uwage unanikaushia askari wako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mkuu mimi sio Moderator WATU WANANIZUSHIA TU, SIJAWAHI KUKUPIGA BAN MKUU
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Kuliwa niliwe mie kelele na miguno mpige nyie ? Inahusuuuu
wewe ni me subiri ban yako.Sijawahi kupinduliwa mimi ndio huwa nawapindua
Ushampenda Dogo joseAlafu bby wangu jose wakati upo proson nlikufungulia uzi nikikulilia hebu fungua profile langu ujue ukweli kwanza then urudi
Sent using Jamii Forums mobile app
My God!wanafunz wafugaji[emoji23] [emoji23]Wanaume wa jf hasa wa dar wengi ni wanafunzi na wale wa mkoani ndio chefuuuuuuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] wafugaji
Sent using Jamii Forums mobile app