DJ SEPETU
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 8,413
- 12,336
- Thread starter
- #641
Oohoo!Yeah nilishawahi kumtongoza mwanaume but kipindi sihayajua mapenzi
Wanaume madomo zege ndio nawapendaga maana wao hawanaga maneno mengi wao ni pesa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika mahusiano kwann ndoa zimekuwa adimu Siku hizi
Wanawake wanakosea wapi
Kiasi cha waume kwenda nje
DJ sepetu