Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Mrembo richaabra live interview on muosha rungu show!

Status
Not open for further replies.
Yeah nilishawahi kumtongoza mwanaume but kipindi sihayajua mapenzi

Wanaume madomo zege ndio nawapendaga maana wao hawanaga maneno mengi wao ni pesa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Oohoo!
Katika mahusiano kwann ndoa zimekuwa adimu Siku hizi
Wanawake wanakosea wapi
Kiasi cha waume kwenda nje

DJ sepetu
 
Oohoo!
Katika mahusiano kwann ndoa zimekuwa adimu Siku hizi
Wanawake wanakosea wapi
Kiasi cha waume kwenda nje

DJ sepetu
Wanaume wamezidi umalaya nowdays na wanawake tumzidisha mapenzi ya pesa na ndio maana tunaishia kuchezewa tu huku ndoa tunazisikia kwenye bomba
 
NATANGULIZA SAMAHANI KWA HAYA MASWALI TAFADHALI

Richabra kuna huu uzi WAKO hapa

Baada ya kumtoa usichana, binamu yangu anataka tuwe wapenzi lakini naogopa

Unasema wewe ulikuwa ni wa kiume?? ulimtoa bikira binamu yako?? ni kweli?? Halafu vipi mbona watu baada ya kukusakama kwenye ule uzi ukaufuta??

Huku umekuwa mwanamke,? Mbona kwenye huo uzi ulikuwa wa kiume

Kilitokea nini mpaka ikawa hivyo??

Halafu vipi mbona wengine wanakuita RICHARD ABRAHAM??

Sent from my iDevice using Tapatalk
Jose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume wamezidi umalaya nowdays na wanawake tumzidisha mapenzi ya pesa na ndio maana tunaishia kuchezewa tu huku ndoa tunazisikia kwenye bomba
Ulishawahi pinduliwa ktk mapenzi!?
Ukimjua mtu anayekuibia bwana wako au mumeo unafanyaje!?

DJ sepetu
 
[emoji108] [emoji3] [emoji3]

Jamani huo uzi inaonekana mnaupenda sana
Pamoja na hayo, mimi nataka kupata ufafanuzi tu kutoka kwako kwa maana bado najiuliza ulipost ule uzi ukisema wewe ni Wa kiume halafu kwenye huu uzi wewe ni wa kike, nitoe gizani tafadhali

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Jose mimi sina mashaka na wewe kwa sababu mimi najua fika wewe ni mode, sema unanipigaga ban sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee mkuu mimi sio Moderator WATU WANANIZUSHIA TU, SIJAWAHI KUKUPIGA BAN MKUU

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
 
Wanaume wa jf hasa wa dar wengi ni wanafunzi na wale wa mkoani ndio chefuuuuuuuu[emoji3] [emoji3] [emoji3] wafugaji

Sent using Jamii Forums mobile app
My God!wanafunz wafugaji[emoji23] [emoji23]
Muonekano Wa mwanaume unaokuvutia ni upi ukiacha pesa
Sura nzuri ka yangu au sura ngumu
Ukiwa mahaban unapenda mume akufanyie nn

DJ sepetu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom