Hapo sasa sahivi itabidi tumpe lisaa limojaHalaf interview zake ujue hazina mda maalum wa kuisha unaweza ukalala kesho anaingia kwenye uzi anaendelea kukuuliza aisee sijawahi ona mimi interview ya hivyo
Ambacho hujaelewa hapo ni niniiKumkatikia mwanaume.
Mi mzima kabisa. Vp wewe?Karibu sana afu wewe ntakubali.
Mzima lakini?
Mamy nasubiri jibu[emoji28]Heheeeeeeee hallooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia utajibu midaa hizo fukunyunyu!Heheeeeeeee hallooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtan wangu hapa ndo roho huwa inapenda ngoja nisogeze kiti karbuNimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazaramo hawaachiki ujue[emoji23] [emoji23] namna kiuno kata!
DJ sepetu
Wapenda picha umewapatia
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kibiti[emoji23] [emoji23]Khaaa uko wapiii cuzoo
Yaan leo wamepatikana[emoji1][emoji1][emoji1]Heheeeeeeee hallooooooo[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ni muhimu sana maana habari bila pic ni udakuUsingeomba picha ningeomba ban ya mwaka[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jibu ndio hilo cuzooMamy nasubiri jibu[emoji28]
Nilijua kwenye hiyo comment lazima upende hapo tuKumkatikia mwanaume.
PoyeeeeeKibiti[emoji23] [emoji23]
Picha ya shepu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh cuzoo basi hatari sanaJibu ndio hilo cuzoo
Haha a a a a a a a a nakuondoa hapaPicha ni muhimu sana maana habari bila pic ni udaku
Weka picha nione hizo chuchu mtan wanguMkoleni huwa huwa msichana anapelekwa baada ya kuvunja ungo huwa tunawekwa ndani kwa muda wa miezi 2 hadi 3, huku tukifundishwa mambo mbalimbali kama kujitambua kama msichana , kuwa na nidham na jinsi ya kuishi vuzuri na watu bila kusahau mtoto wa kike kufundishwa namna ya kuishi na mwanaume na siku ya kutoka nnje huwa tunachezwa ngoma huku tumezungukwa na watu vifua na chuchu zikiwa wazi
Mmeshawekewa mseme linginePicha ya shepu