Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Hahaaaaaaaa nimekuelewa basi sawaaaa[emoji28]mmh!nilijua simu yk haina chaji!
DJ sepetu
Ngoja [emoji101]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaaaa nimekuelewa basi sawaaaa[emoji28]mmh!nilijua simu yk haina chaji!
DJ sepetu
Kama jina lako halisi ni Nahya weka picha yako halisi tuone kwa maana huku wengine wanatumia avatar fekiJina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Shogaangu shunnie karibu[emoji134] [emoji108]Kwenye ubora wako kabisa richaabra
Nimeambie mamito miss you a lot baby[emoji8]Cuzooo
Nipo mama nakufatilia kwa karibu sana nimependa ratiba yako tu kuanzia sa mbili mambo ya kwa 6×6Shogaangu shunnie karibu[emoji134] [emoji108]
MhhhKama jina lako halisi ni Nahya weka picha yako halisi tuone kwa maana huku wengine wanatumia avatar feki
Tuko pamoja mkuu wangu vp shemej yangu money talk mzima?Subiri uone[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Nakuhamisha wallahNipo mama nakufatilia kwa karibu sana nimependa ratiba yako tu kuanzia sa mbili mambo ya kwa 6×6
Me moree cuzoo hivi ya kwako ni lini vile niwahi sit ya mbele ya kaka yangu josseNimeambie mamito miss you a lot baby[emoji8]
Ilikuwa mdogo sana mnafundishwa non hukoNimechezwa ngoma mkoleni nikiwa na miaka 15 ilikuwa uzaramoni msanga huko..kikubwa kilichoninufaisha mkoleni ni kufundwa na kufundishwa maadili mema pia bila kusahau ufundi wa kumkatikia vizuri mtoto wa kiume thats why mimi huwa siachwi na mwanaume labda niamue mwenyewe kumuacha[emoji108] [emoji108] [emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahahh cuzoo hivi haujaelewa hapoNakuhamisha wallah
Cuzoo yangu mwakani nadhani[emoji38] [emoji38]Me moree cuzoo hivi ya kwako ni lini vile niwahi sit ya mbele ya kaka yangu josse
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua keshoCuzoo yangu mwakani nadhani[emoji38] [emoji38]
Nakupeleka kibiti soon maana[emoji40]Ahahahahh cuzoo hivi haujaelewa hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko ukinipeleka nipeleke na Lee wangu peke yangu siwezi kwenda ujueNakupeleka kibiti soon maana[emoji40]
Mpaka ninunue IPhone 7 hii wereva haikai na charge interview itaishia njiani buree[emoji28] [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilijua kesho
Jina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha ili tuone iyo shepuJina langu halisi ni Nahya
Nimezaliwa Dar es salaam
Mwaka 1992
Umri 25
Kabila langu ni mzaramo mixer mndengereko
Mimi ni mwanamke nnayejiheshimu na nnayemheshimu kila mtu sina makuu yani nipo kawaida
Bila kusahau mimi ni msichana mwenye shepu na uzuri wa iana yake[emoji108]
Sent using Jamii Forums mobile app