Mrembo Salma: Kagere akifunga dhidi ya Yanga anioe bure

Waongo hao kuna wale walijitolea kuwa mboga kama yanga ingefungwa cha ajabu yanga ikafungwa na wenyewe wakapotea
 
Na yeye alisemaje huyo mwanamke?

"....aniowe bure bila mahari....."

Utasemaje goli ni mahari wakati kashasema aolewe bila mahari.

Akikubali na kusema mahari yangu ni goli atalofunga basi ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke amesema aolewe bila mahali atakama atakuwa mke wa pili.
 
Ndiyo hivyo
Wapo wadada wanapendaga kkazw na wachezaji
Alafu wao ndy wahongaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…