Mrembo Salma: Kagere akifunga dhidi ya Yanga anioe bure

Mrembo Salma: Kagere akifunga dhidi ya Yanga anioe bure

Waongo hao kuna wale walijitolea kuwa mboga kama yanga ingefungwa cha ajabu yanga ikafungwa na wenyewe wakapotea
 
Na yeye alisemaje huyo mwanamke?

"....aniowe bure bila mahari....."

Utasemaje goli ni mahari wakati kashasema aolewe bila mahari.

Akikubali na kusema mahari yangu ni goli atalofunga basi ni sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke amesema aolewe bila mahali atakama atakuwa mke wa pili.
 
Wadada ni balaa.
Nakumbuka kipindi wachezaji wa Senegal walivyokuja TZ kuna malaya alipania eti lazima aliwe na mchezaji, sikumbuki jina maana sio mshabiki wa mchezo, sijui Pogba sijui nani vileeee!
Sasa nikajiuliza hivi atapenya vipi hadi ampate huyo mchezaji ili hali wanakuwa chini ya ulinzi kama wako kambini vile
Ndiyo hivyo
Wapo wadada wanapendaga kkazw na wachezaji
Alafu wao ndy wahongaji

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom