Mrembo Sishikiki alalama kutapeliwa gari baada ya kumtolea nje mwanaume aliyekuwa anamtaka kimahusiano

BIG BROTHER ALEX

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2025
Posts
1,293
Reaction score
2,265
Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe.

Wadau wahoji insta ndo mahakama? Wadau watema cheche, mnakula vya watu mkiombwa kulombwa mnaleta ujanjaujanja, kwa mara ya kwanza tanzania tapeli anatetewa na wabongo, hii Kali, inasemekana ni mbunge japo taarifa si za kweli, gari ni discovery ka sijakosea.

Ndugu zangu Watz mkiona tunapambania nchi mjue wote hatupo salama, hivo tuwe tunasapotiana. Ona huyu sasa anajichoresha, si akafungue kesi mahakamani baada ya kutoa taarifa kituo cha polisi. Tapeli akamatwe, sio kuleta kesi Insta au tapeli ni kigogo

Katika Hali isio ya kawaida dada kaingia insta na kuanza kutia huruma eti huyo jamaa alie matapeli sababu, hamtaki kimahusiano ndo chanzo jamaa kumtapeli kibabe.

Wadau wahoji insta ndo mahakama? Wadau watema cheche, mnakula vya watu mkiombwa kulombwa mnaleta ujanjaujanja, kwa mara ya kwanza tanzania tapeli anatetewa na wabongo, hii Kali, inasemekana ni mbunge japo taarifa si za kweli, gari ni discovery ka sijakosea.

NDUGU ZANGU WATZ MKIONA TUNAPAMBANIA NCHI MJUE WOTE HATUPO SALAMA, HIVO TUWE TUNASAPOTIANA, ONA HUYU SASA ANAJICHORESHA, SI AKAFUNGUE KESI MAHAKAMANI BAADA YA KUTOA TAARIFA KITUO CHA POLISI TAPELI AKAMATWE SIO KULETA KESI INSTA AU TAPELI NI KIGOGO.

Tatizo la kuandika ni shida kwa nchi yetu
 
Huyu mwanadada Sishkiki ana duka lake la nguo pale Msasani mwisho karibu na kona ya fitness, mwanzoni hiyo gari alikua anatamba nayo sana akiwa ameweka plate no jina lake, baadaye tukaona jina lake haipo, baadaye ile gari hatujaiona tena...aeleze vizuri nini kimemsibu

Sishkiki round hii amekamatika
 
Kaka mi Kuna demu nikonae kwenye mahusiano namhudumia kama mpenzi ila mama yake anadai Kuna jamaa yupo ulaya ndo mume wake mtarajiwa, ukimuliza demu anakana,
Unategemea demu akubali ili uache kumuhudumia? Mjinga ni wewe ambae unahudumia girlfriend. Mwenye haki ya kuhudumiwa ni mke,na kwa taarifa yako hata huyo wa ulaya pia anahudumia kwaiyo demu anapiga winga zote mbili
 
Huyu mwanadada Sishkiki ana duka lake la nguo pale Msasani mwisho karibu na kona ya fitness, mwanzoni hiyo gari alikua anatamba nayo sana akiwa ameweka plate no jina lake, baadaye tukaona jina lake haipo, baadaye ile gari hatujaiona tena...aeleze vizuri nini kimemsibu

Sishkiki round hii amekamatika
Imechukuliwa na jamaa kibabe, demu anadai huyo jamaa alitaka penzi eti demu akamgomea, jamaa akabeba gari, hivi gari umenunua kwa hela zako jasho lako anakujaje mtu kulichukua?
 
Unategemea demu akubali ili uache kumuhudumia? Mjinga ni wewe ambae unahudumia girlfriend. Mwenye haki ya kuhudumiwa ni mke,na kwa taarifa yako hata huyo wa ulaya pia anahudumia kwaiyo demu anapiga winga zote mbili
Kaka Hiko hivi demu ALIKUA na MAHUSIANO na mshikaji hiyo inafahamika wazi mana jamaa alimchumbia, demu akamfumaa jamaa na demu mwingine wakapigana chini nikamdaka demu kwa staili hiyo, mama mtu anamtaka jamaa sababu yupo ulaya, demu anasema it's over na jamaa mi nacho taka nilombe nisikilize mamuz ya demu mana namuelewa kuchizi mtoto wa kizanzibar
 
Kwa haya maelezo yako, huyo jamaa unayemzungumzia ninamfahamu na amekubaliana na huyo demu wako mwakani atamchukua akakae nae nje. Anza kutafuta demu mwingine, pole sana!​
 
Back
Top Bottom