Mrembo Sishikiki alalama kutapeliwa gari baada ya kumtolea nje mwanaume aliyekuwa anamtaka kimahusiano

Mrembo Sishikiki alalama kutapeliwa gari baada ya kumtolea nje mwanaume aliyekuwa anamtaka kimahusiano

Sio kuandika tu hata kuongea Kiswahili chetu ni shida, utasikia watu wengi wanatamka gali, Nailobi au Daslaama. Wabongo tumejiachia sana, yaani sisi ni lolote na liwe tu
Kaka hapa sisi ni watu wazima mambo hapa Yana andikwa kwa Kodi, hivo sahau kusoma vitu kwa ufasaha, Kodi ni kwa usalama elewa Hilo kaka siku nyingine wasikushangae hiii si riwaya
 
Back
Top Bottom