Ungana JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 357 Reaction score 74 Aug 20, 2014 #1 Sina kawaida ya kuwafuatilia sana watu maarufu lakini huyu dada ananivutia sana na ninatamani nimwombe ndoa,hebu nisaidieni nampataje? Anaishi hapa nchini au ni diaspora(saivi naoana wanapenda kujulikana hivo) She looks good mannered na ni kama anazo sifa zote za kuwa mke mwema aliyeelezewa katika MITHALI 30
Sina kawaida ya kuwafuatilia sana watu maarufu lakini huyu dada ananivutia sana na ninatamani nimwombe ndoa,hebu nisaidieni nampataje? Anaishi hapa nchini au ni diaspora(saivi naoana wanapenda kujulikana hivo) She looks good mannered na ni kama anazo sifa zote za kuwa mke mwema aliyeelezewa katika MITHALI 30
Ungana JF-Expert Member Joined Jul 16, 2011 Posts 357 Reaction score 74 Aug 20, 2014 Thread starter #2 Ndo huyu Attachments 1408542286017.jpg 23.9 KB · Views: 753
Nanaa JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,893 Reaction score 3,709 Aug 20, 2014 #3 Jamani hizi promo nyingineeee....haya kadai chako tushasikia.
QALLI MIZOH JF-Expert Member Joined Mar 19, 2014 Posts 2,075 Reaction score 698 Aug 20, 2014 #4 Ungana said: Ndo huyu Click to expand... na kikuku chini...? anatoa nini?
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,378 Reaction score 56,047 Aug 20, 2014 #5 Kim nana said: Jamani hizi promo nyingineeee....haya kadai chako tushasikia. Click to expand... safi sana
Kim nana said: Jamani hizi promo nyingineeee....haya kadai chako tushasikia. Click to expand... safi sana
kalagabaho JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 5,457 Reaction score 5,893 Aug 20, 2014 #6 Ungana said: Ndo huyu Click to expand... Sasa si umchukue? Kumpenda umpende wewe picha utuletee sisi we vipi?..nani kakwambia kila mtu anampenda huyo bibi alokomaa sura?
Ungana said: Ndo huyu Click to expand... Sasa si umchukue? Kumpenda umpende wewe picha utuletee sisi we vipi?..nani kakwambia kila mtu anampenda huyo bibi alokomaa sura?
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,065 Aug 20, 2014 #7 kawaida sana
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Aug 20, 2014 #8 kalagabaho said: Sasa si umchukue? Kumpenda umpende wewe picha utuletee sisi we vipi?..nani kakwambia kila mtu anampenda huyo bibi alokomaa sura? Click to expand... Jamaniii hua unaniua mbavu, aisee mi hata ningekua mwanaume huyo sporah hapanaaa
kalagabaho said: Sasa si umchukue? Kumpenda umpende wewe picha utuletee sisi we vipi?..nani kakwambia kila mtu anampenda huyo bibi alokomaa sura? Click to expand... Jamaniii hua unaniua mbavu, aisee mi hata ningekua mwanaume huyo sporah hapanaaa
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 50,587 Reaction score 71,492 Aug 20, 2014 #9 Anakula Ally k hiyo kitu
theki JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 2,721 Reaction score 585 Aug 21, 2014 #10 Sasa hayo maradhi yako ya kupendapenda angalia lkn yasikutokee puani.