Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show ya Clouds TV

Mrembo Sporah Njau wa The Sporah Show ya Clouds TV

Ungana

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
357
Reaction score
74
Sina kawaida ya kuwafuatilia sana watu maarufu lakini huyu dada ananivutia sana na ninatamani nimwombe ndoa,hebu nisaidieni nampataje?

Anaishi hapa nchini au ni diaspora(saivi naoana wanapenda kujulikana hivo)

She looks good mannered na ni kama anazo sifa zote za kuwa mke mwema aliyeelezewa katika MITHALI 30
 
Ndo huyu
 

Attachments

  • 1408542286017.jpg
    1408542286017.jpg
    23.9 KB · Views: 753
Jamani hizi promo nyingineeee....haya kadai chako tushasikia.
 
Sasa si umchukue? Kumpenda umpende wewe picha utuletee sisi we vipi?..nani kakwambia kila mtu anampenda huyo bibi alokomaa sura?

Jamaniii hua unaniua mbavu, aisee mi hata ningekua mwanaume huyo sporah hapanaaa
 
Sasa hayo maradhi yako ya kupendapenda angalia lkn yasikutokee puani.
 
Back
Top Bottom