Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Kama ni kibinadamu ni kusamehe maisha yaendelee!!

Unategemea kumwona vipi mumeo baada ya miaka kadhaa ijayo?! Kipi unafanya kuhakikisha ndoa yako inakuwa imara?! Ushawahi mnunulia mumeo zawadi?!
Sakayo kusamee kupo lakini isiwe too much haijulikani lini anakuwa mme wala baba bora hiyo hapana Sakayo
 
In marafiki jf Wa ukweli!
Unatumia chujio gani kuchagua marafiki
Marafiki kwakweli mie sio wavibarazani kusema sema ya watu la mtu tuongee yatuhusuyo basi nikiona blabla nyingi huwa naepuka kistaraabu tu , makundi ya ajabu sina kwakweli
 
Sakayo kusamee kupo lakini isiwe too much haijulikani lini anakuwa mme wala baba bora hiyo hapana Sakayo
Kwa kuwa ni mumeo, ushasema kuna kushindwa kuepuka vishawishi. Utamsamehe sema inauma na huwezi rudisha utamu alogawa!!

Baba anaejitambua lazima anatambua majukumu yake kama baba na kama mume, na mwanaume wa hivyo hata akikosea unajua kweli ni bahati mbaya.
 
Marafiki kwakweli mie sio wavibarazani kusema sema ya watu la mtu tuongee yatuhusuyo basi nikiona blabla nyingi huwa naepuka kistaraabu tu , makundi ya ajabu sina kwakweli
Uliwahi kwenda kwa mganga ajili ya biashara au kingine
 
Ndiyo hivyo sio akosee halafu awe mbabe mmmm hapo ndipo shida inapoanzia na visasi mwishowe wanaumia watoto
 
Unawaambia nn wanawake ambao wanatafuta waume bila mafanikio na umri unawatupa mkono!
Wafanye nn
Kila mtu ana malengo yake, lakini kwa mimi nilitulia tu nakufanya mambo yangu na kumtegemea Mungu basi ilipofika ndiyo nikakutana na huyu mbaba, kinachotuponza sana ni ile mtu akitongozwa tu unajipeleka mzima mzima sio kila king'aacho ni dhahabu kujirahisisha sio unajikuta mtaa mzima umeumaliza mtu akijitambua na kujiheshimu mambo yanasonga, wengi watongoza kwa gia ya kuoa kumbe hakuna kitu
 
Poa!
Biashara yako inakurahisishia maisha vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…