Mrembo Ulweso live interview on DJ sepetu show!

Unajivunia nn ktk malez uliyolelewa na wazazi
Kujiheshimu mwenyewe na kujidhamini pia kujitambua, kuishi na kila mtu haijalishi umri, kauli nzuri kwa watu pia nimechota maisha yao ya ndoa wamekuwa mfano kwangu katika maisha yangu ya ndoa,mpaka Baba yangu anafariki walikuwa wote na mama ( R.I.P my Dad) japo si mkamilifu kwani mie ni binadamu, pia elimu hiyo kiasi walionipatia imenipa hali ya kujitambua mie ni nani.
 
Sorry! Una elimu gani hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…