Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Vitu vingi tu, faida yake tunakaa nakupanga tufanyie niniPoa!
Biashara yako inakurahisishia maisha vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitu vingi tu, faida yake tunakaa nakupanga tufanyie niniPoa!
Biashara yako inakurahisishia maisha vipi
Fafanua kidogo vichwa vizito siku hizi[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ni kikwete au magufuli
Kila zama zina mambo yake kikwete alifanya yake na magu ana fanya yake japo katiba ni hiyo hiyoYupi ni kiongoz bora
Ndiyo msaada au michango ipo tunajifunza vitu mbalimbali kupata habari pia furaha, kuna wakati naweza kuwa mwenyewe nikiingia humu natoka na tabasamuJf ina msaada wowote kwako!
Upi
Hapo inategemea na mazingira ya mtu alipo, kuna mwingine anaweza uza mandazi au chapati mpaka akasimama, wengine genge nyanya mboga na vifananavyo na hivyoUna unadhani biashara zip mtu ajaribu kufanya kwa mtaji mdogo
Hahaa bongo Yanga na huko majuu Baca na man city japo si kindaki ndaki, ila maswali ya timu hapana [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unashabikia timu gani
Habari mchanganyiko hupitia hapo nionayo inavutia hutumbukia humoUlweso unapendelea majukwaa gani humu JF?
Naomba hili nisijibu chochote zaidi ya [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Unapenda kutembelea nchi gani
Mtu kunidharau kwakweli nitakasirika , kuni heshima hapo safi!Nn hukukasirisha haraka na kipi hukufurahisha
Wengi tu nikianza nawe haunaga majibu ya shomboUnavutiwa na nani humu jf at least 3
Habari mchanganyiko hupitia hapo nionayo inavutia hutumbukia humo