Endelea kuninyima utazikwa nazoNishakunyima sikunyimi tenaπππ
Wanaume wasio na utajiri wao hawastahili upendo ama? Hii ndio inachanganya sanaCazee yamekuwa hayo πππ
Ila mwanaume tajiri ana raha yake km kero wote wanazo hata maskini bana
Nasemea watoaji sio hao mabahili bff vipi nawe ππTajiri awe anakupa sasa....anaweza kuwa nazo na asitoe
Hebu kwanza elezea ramani ya mazingira...yanavutia?Tangulia mkuu, ila usiache alama ili nikipita nipite kwa speed zote.π€£
Nafikiri hiko kipimo sahihi mno π€£Wakuonyeshe bank statements za wazee wao kwanzaπ
Nakuwazia mema...utajutia haya maneno wala...hiEndelea kuninyima utazikwa nazo
Hawa watoaji wana nafasi yao moyoni mwanguNasemea watoaji sio hao mabahili bff vipi nawe ππ
Mkuu mbona unanitisha sanaNakuwazia mema...utajutia haya maneno wala...hi
Nasema kweli 100%Mkuu mbona unanitisha sana
Umeona eee bff ππHawa watoaji wana nafasi yao moyoni mwangu
Sina hata la kusema tumuachie MunguMda sana, nipo nasubiria hapa...useme neno roho yangu ikae sawa...
Usicheke mkuu nina hasira sanaHahaha, mkuu umenichekeshaπ€£π€£π€£
Kha we kakaNasema kweli 100%
Kuwa mpole
Mbwa mwenyewe...utatoa niniπππUmeona eee bff ππ
Wanaume toeni pesa mbwa nyie πππ