Ile wewe jamaa nakukubali sana uwe unakuja kushusha nondo zako una muda haujaandika uzinilisema hapa yatashuka mafeminist ya jf kumtetea malayer mwenzao. Mafeminist ni maproffesion blame twisters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile wewe jamaa nakukubali sana uwe unakuja kushusha nondo zako una muda haujaandika uzinilisema hapa yatashuka mafeminist ya jf kumtetea malayer mwenzao. Mafeminist ni maproffesion blame twisters
Yah atashindana nao tuJamaa kaamua kuamua liwalo na liwe
View: https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj
Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi.
Short description kwa wasio na bundle;
Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu wa mabwana hivyo kashindwa kutaja jina sahihi, kamtaja bwana Beni kumbe sio Beni aliyetoa zawadi ya gari.
Ndipo tulipo na mahusiano ya kisasa. Vijana mna kazi sana kutafuta walau wadada wenye nafuu, hii mbinu nimeikubali.
Chanzo: Global TV Online.
Yani Chelsea ntampigia mpira mkubwa sana na atajutaUngeandika Chelsea kumtandika Arsenal Ndio ina sound poa au ulipiga moja baridi wakati unaandika comment yako
huna uwezo wa kumpigia Chelsea mpira mkubwa mpaka sasa Chelsea Ndio inaongoza kwa katengeneza nafasi nyingi za magoal, team ambayo imefungwa magoal machache shida ilikuwa ni finish tu ila kwenye match tatu hizi tumekuwa wazuri wakutumia nafasiYani Chelsea ntampigia mpira mkubwa sana na atajuta
🤣🤣🤣🤣 unadhani ku update status ni kazi ndogo? Unataka nizoe utitili aku wacha nipate kitu moyo unataka.Miaka 3 mila kuwekwa? Una tatizo gani hadi ukae mda wote huo mkuu, usiukosee moyo kiasi hicho
....jumapili baada ya mechi ntakuja hapa lazma nije nikunafikie kidogohuna uwezo wa kumpigia Chelsea mpira mkubwa mpaka sasa Chelsea Ndio inaongoza kwa katengeneza nafasi nyingi za magoal, team ambayo imefungwa magoal machache shida ilikuwa ni finish tu ila kwenye match tatu hizi tumekuwa wazuri wakutumia nafasi
Nilimuuliza binti yangu jana, naye alikuwa anagraduate.Hivi hiyo video ni tukio la ukweli au ni prank?
Asisubutu ku recodiwa au kuwa na masela wengi?Nilimuulia binti yangu jana, naye alikuwa anagraduate.
Akaniambia ni kweli.
Nikamwambia ''Usije ukathubutu, nitakuvunja miguu mwenyewe nikipeleke polisi''
Nilimuulia binti yangu jana, naye alikuwa anagraduate.
Akaniambia ni kweli.
Nikamwambia ''Usije ukathubutu, nitakuvunja miguu mwenyewe nikipeleke polisi''
Vyote tu!Asisubutu ku recodiwa au kuwa na masela wengi?
Mkuu nikipata muda nitaendelea kuandika andika articles red pill ili kuwafumbua macho vijana wa karne hii ya upepo wa feminismIle wewe jamaa nakukubali sana uwe unakuja kushusha nondo zako una muda haujaandika uzi